» » Diamond Platnumz Amwagia Sifa Mpenzi Wake Zari..Amwita Kadada Kabichi Kama Embe la Msimu

Picha za hivi karibuni za Zari zimezoa gumzo mitandaoni huku wengine wakisema japo ni mama wa watoto wa nne lakini bado analipa sana zaidi ya wanawake wengi ambao hata watoto hawana..Mpenzi wake nae Akapigilia Msumari kabisa kwa kuandika haya katika ukurasa wake wa Instagram;
“Diamondplatnumz; I swear i Can’t get use to your Cuteness…Kadada kabichiii… kama Embe la Msimu! 🍋@zarithebosslady ”

About Unknown

Tembelea mtandao huu kila siku upate habari za Kimataifa,Kitaifa,Udaku,Michezo,Video na Picha za Matukio Mbalimbali...KARIBU!.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply