Mwanamuziki Ommy Dimpoz Amemrushia Dongo la Kiana rafiki yake Idriss Sultan Mshindi wa Shindano la Bigbrother 2014 Kwa Kuandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram;
“Hii picha ni Pale Team Wemasepetu watakapogundua kumbe Idris Sultan hana Kizazi..Happy Birthday Milionea mwenye kampuni mbili zilizoajiri watu 7 Umekaza sana mwana kutoka kupiga picha, Kukaa ndani kama mwali Miezi 3 halafu ukapewa Hela ambazo umeamua unazitumbua na Miss wetu Kila la lakheri mwana nakuombea zikiisha tuachie Miss wetu sawa?mtoto tutamlea wenyewe (UZURI WA IDRIS HANUNAGI MTOTO WA WATU” Ommy Dimpoz

No comments: